Msanii mkongwe wa Muziki hapa nchini ambaye kwa sasa amepewa dhamana na
wananchi wa Mikumi kuwawakilisha Bungeni, Prof Jay amezungumzia kitu
ambacho kinawafanya wasanii wetu washidwe kufika kimataifa.
Jay ameyasema hayo wakati akizungumza na HZB TV ofisini kwake, Msikilize katika Video hii
0 Comments